December 7, 2016



Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wanajiandaa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar.

Mechi hiyo itakuwa ni ya kwanza kwa Kocha mpya, George Lwandamina ambaye anataka kuanza kukipima kikosi chake.

Lwandamina raia wa Zambia amekuwa akifanya mazoezi na kwa zaidi ya wiki moja sasa.

Mechi hiyo dhidi ya JKU itapigwa Jumamosi, lakini bado haijajulikana kama itakuwa Zanzibar au Dar es Salaam.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic