Kama ulijisahau, nakukumbusha kuwa Kocha Hans van der Pluijm sasa amepanda cheo kwa kuwa amekuwa akiibuka mazoezini akiwa amepiga “mkanda nje”.
Pluijm raia wa Uholanzi sasa ni Mkurugenzi wa Ufundiwa Klabu ya Yanga na muda mwingi mazoezini amekuwa akikaa kando na kumuacha kocha mpya afanye yake.
George Lwandamina raia wa Zambia ndiye kocha mpya na amekuwa akiifanya kazi yake kwa ufasaha huku Pluijm akiwa nje ametulia tuli.
0 COMMENTS:
Post a Comment