December 8, 2016


Azam FC imekuwa ikiendelea na mazoezi makali kwa lengo la kuwa sawa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Sehemu ya maandalizi hayo, sasa Azam FC imeingia katika mechi za kirafiki na imepanga kucheza na Mtibwa Sugar.

Mechi dhidi ya Mtibwa Sugar itapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye dimba la Azam Complex jijini Dar es Salaam.


Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mtandao wa Azam FC, mechi hiyo itaanza saa 1:00 usiku.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic