December 11, 2016


Vijana wa Simba, ndiyo mabingwa wa Ligi ya Vijana chini ya miaka 23.

Simba imebeba ubingwa huo baada ya kuitwanga Azam FC kwa mikwaju ya penalti katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

Simba ndiyo ilikuwa ina matumaini ya kubeba kombe hilo mapema lakini dakika ya 83, Said Hamisi alitibua baada ya kuisawazishia Azam FC na kufanya matokeo kuwa 2-2 na mwisho dakoka 30 zikaongezwa nazo zikaisha kwa sare hiyohiyo.


Mikwaju ya penalti, ilikuwa hivi;                   

SIMBA:
Calvin Faru  FUNGA  
Said Issa   FUNGA  
Mokiwa Perus FUNGA
Vicent Costa FUNGA
 Moses Kitandu FUNGA

AZAM FC:                
 Abasi Kapombe FUNGA                                   
 Rajab Mohammed FUNGA                        
Adolf Bitegeko FUNGA                        

Said Issa Mohammed KOSA  

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic