December 7, 2016


Azam FC imeendelea kujifua vilivyo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili utakaoanza Desemba 17.

Azam FC iko chini ya Kocha Zeben Hernandez akiwa na jopo zima kutoka kwao Hispania. Mazoezi ya kikosi hicho yanafanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex.

Kikosi hicho kilimaliza Ligi Kuu Bara mzunguko wa kwanza kikiwa katika nafasi ya tatu, nyuma ya Simba na Yanga.














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic