January 29, 2017


Andre Ayew na mdogo wake, Jordan Ayew kila mmoja amefunga bao moja na kuisaidia Ghana kuifunga DR Congo kwa mabao 2-1 katika mechi ya robo fainali ya michuano ya Afcon nchini Gabon.

Jordan ndiye alianza kufunga dakika ya 63 na kaka yake akamalizia kazi katika dakika ya 78 jwa penalti.

Wote wawili ni watoto wa gwiji la soka nchini Ghana Abeid Ayew maarufu kama Abeid Pele.

DR Congo (4-3-3): Matampi, Mpeko, Tisserand, Bokadi, Lomalisa; Mbemba, M'poku (Bakambu 83), Mulumba (Bolingi 85); Mubele (Bokila 83), Mbokani, Kabananga
Booked: Mulumba, Lomalisa
Goals: J Ayew 63, A Ayew 78 pen 


Ghana (4-2-3-1): Razak; Afful, Boye, Amartey, Acheampong; Acquah, Wakaso; Atsu, Partey, A. Ayew; J. Ayew
Booked; Wakaso, Amartey
Goals: M'Poku 68 









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic