January 3, 2017


Baada ya kufanikiwa kuichapa Zimamoto bao 1-0 jana jioni, kikosi cha Azam FC leo asubuhi kimeendelea na maandalizi zaidi kujiandaa na mchezo mwingine wa kesho Jumatano wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, ikicheza dhidi ya Jamhuri saa 2.15 usiku.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic