January 12, 2017Lionel Messi amefunga bao la 31 akitumia mpira wa adhabu na kuisaidia Barcelona kushinda kwa mabao 3-1 na kutinga robo fainali ya Copa Del Rey.

Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Neymar, yote mawili hivyo kuivusha Barcelona kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-3 baada ya kuwa imefungwa kwa mabao 2-1 katika mechi ya kwanza.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV