January 3, 2017


Unaweza kusema kila mtu ana bahati yake, Mbrazili Oscar tayari ametua nchini China na kujiunga na klabu yake mpya ya Shanghai SIPGt.

Klabu hiyo imemnunua kutoka Chelsea kwa day la pauni million 52.

Kama hiyo haitoshi, Oscar ambaye Chelsea alianza kuonekana kutokuwa na faida kubwa, atakuwa akilamba pauni 400,000 kwa wiki!






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic