January 10, 2017
Simba
Mkude KAFUNGA
Agyei KAFUNGA
Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa)
Muzamiru KAFUNGA
Bukungu KAFUNGA
(WAMEPATA 4, WAMEKOSA 1)

Yanga

Dida      KAKOSA (Agyei anadaka hapa)
Msuva     KAFUNGA
Kamusoko    KAFUNGA
Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa) 
(WAMEPATA 2, WAMEKOSA 2)

Simba wameshinda kwa jumla ya penalti 4-2
Wanakwenda fainali dhidi ya Azam FC, mechi itapigwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar ilipopigwa mechi ya watani, hii leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV