Mashabiki wa Simba wameonekana ni wenye furaha na wanaojiamini vilivyo nje ya Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Muda mchache ujao, Simba itaivaa Mtibwa Sugar katika mechi ngumu ya Ligi Kuu Bara.
Lakini mashabiki hao, wanaamini mziki wa Simba uko vizuri na Mtibwa Sugar, watakaa.
Hata hivyo, Mtibw Sugar wamekuwa wakijiamini kama kila kitu kipo sawa kwao na Simba, watakiona cha mtema kuni.
0 COMMENTS:
Post a Comment