January 9, 2017


Kocha wa Mabingwa wa England, Leicester City, Claudio Ranieri amoeba tuzo ya Kocha Bora duniani.
Ranieri ameshinda tuzo hiyo katika tuzo za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) zilizofanyika mini Zurich nchini Uswiss, leo.
Ranieri raia wa Italia aliiwezesha Leicester kubeba ubingwa wa England msimu uliopita na kuushangaza ulimwengu.

Kocha wa zamani wa timu ya taiga ya Ujerumani kwa wanawake,  Silvia Neid kabeba tuzo ya kocha bora wa dunia upande wa wanawake huku  Mohd Faiz Subri akitwaa tuzo ya goli bora ya Puskas kwa 2016.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV