January 6, 2017

 Riyad Mahrez ndiye Mwanasoka Bora Afrika 2016 akichukua tuzo aliyokuwa akiishikilia Pierre-Emerick Aubameyang aliyeungana na Mbwana Samatta aliyechukua ile tuzo ya wachezaji walio barani Afrika.

Sadio Mane wa Liverpool na Senegal, ndiye alikuwa akichuana na Mahrez lakini baada ya Mualgeria huyo kutangazwa, alimpongeza.

Mane alionekana ni mwenye furaha pia, akampongeza Mahrez na baada ya hapo akasema: “Haina ubishi, alistahili.”

2016 - Riyad Mahrez
2015 - Pierre-Emerick Aubameyang
2014 - Yaya Toure
2013 - Yaya Toure
2012 - Yaya Toure
2011 - Yaya Toure


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV