Pamoja na kipa Denis Onyango wa Uganda kuchaguliwa kuwa mwanasoka bora wa Afrika kwa wanaocheza ndani ya Afrika, timu yake ya taifa ya Uganda imeteuliwa kuwa timu bora.
Uganda maarufu kama The Cranes, imetwaa tuzo hiyo ikiwa timu iliyorejea kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika baada ya kuikosa tokea mwaka 1978.
0 COMMENTS:
Post a Comment