January 6, 2017

Kipa Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns), ndiye mwanasoka bora wa Afrika kwa wale wanaocheza ndani ya bara hili.

Onyango aliyewahi kutamba akiwa na SC Villa ya Uganda, aliisaidia Mamelodi ya Afrika Kusini kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV