January 12, 2017
Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga unakanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa uongozi "umemtimua" kocha mkuu Bw George Lwandamina.

Taarifa hizo sio za kweli tunaomba wanachama na mashabiki wetu mzipuuze zimekaa "KIMATOPENI ZAIDI"
Bado George Lwandamina atabaki kuwa kocha mkuu wa Yanga kwa muda wote wa mkataba wake.


Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga Makao makuu.

1 COMMENTS:

  1. mlisemaga ivo ivo ilipovuja kuwa Pluigm anang'olewa na Lwanadamina anarithi mikoba hatimaye yakawa

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV