ARSENAL WALIVYOPATA MNYONGE WAO SUTTON NA KUTAWALA IDARA ZOTE Arsenal imeishinda Sutton kwa mabao 2-0 na kujihakikishia kucheza robo fainali ya Kombe la FA. Lakini walitawala kila idara na wao wakawa na mnyonge wao baada ya wiki chache kunyanyaswa na Bayern Munich.
0 COMMENTS:
Post a Comment