February 9, 2017


Askofu Kiongozi Josephat Gwajima amekwenda Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam kwa ajili ya kuhojiwa lakini akiwa ameshitukiza.

Gwajima ni kati ya watu 65 waliotakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwenye suala la tuhuma za dawa za kulevya.


Wakati Makonda alisema wahusika wanatakiwa kufika kuhojiwa kesho, Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amekwenda kituoni hapo leo na baadaye Gwajima amejitokeza leo mchana huku wengi wakiwa hawajategemea.


Akiwa ameongozana na walinzi zaidi ya watano, Gwajima aliingia moja kwa kwenye lango kuu la kituo hicho. 0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV