February 9, 2017Wakati Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akihojiwa katika kituo Kikuu cha Dar es Salaam, mashabiki wa Yanga wametoa mpya baada ya kuanza kuosha gari lake.

Mashabiki walijitokeza kwa wingi kwenye viwanja kituo hicho. Wakati Manji akiwa anahojiwa, wenyewe walianza kuosha gari hilo la mwenyekiti wao.
Mashabiki hao waliendelea kuliosha gari hilo na baada ya hapo walianza kulifuta kuhakikisha linakuwa safi kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV