Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji anatarajia kufikishwa atafikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam.
Taarifa zinasema, Manji anatarajia kufikishwa kesho asubuhi ingaw ahaijaelezwa atafikishwa kwa kosa lipi.
Manji ni kati ya wanaoshikiliwa baada ya kuwa wametajwa kwenye tuhuma za suala la madawa ya kulevya.
0 COMMENTS:
Post a Comment