February 10, 2017

Mbunge wa zamani wa Kinondoni (CCM), Iddi Azzan alikuwa mtu wa kwanza kufika katika kituo Kikuu cha Polisi cha jijini Dar es Salaam, kuripoti kama alivyotakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Azzan alitajwa kwenye listi ya watu 65 ya Makonda ya wale wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya.Azzan aliwahi kuwa kiongozi wa klabu ya Simba, pia kipa namba moja wa timu ya bunge na timu ya wabunge mashabiki wa Simba.


Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji na Askofu Mkuu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wao waliliripoti jana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV