February 4, 2017
Kocha Mkuu wa Barcelona, Luis Enrique amesema wachezaji wake walifanyiwa faulo nyingi zaidi ya Atletico Madrid katika mechi ya Kombe la Mfalme walioyoshinda kwa mabao 2-1.


Lakini ameweka msisitizo katika kila mechi kwa asilimia 95, wachezaji wa kikosi chake ndiyo wamekuwa wakifanyiwa madhambi zaidi.


“Wachezaji wangu ni wavumilivu, nalazimika kuwakumbusha tena na tena kuhusiana na wao kuchezewa faulo na kuongeza uvumilivu.


“Lazima wawe wavumilivu kwa kuwa wanakumbana na maumivu ya faulo huenda kuliko timu nyingine tena,” alisema.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV