February 4, 2017


Chelsea ambao ni Vinara wa Ligi Kuu England wako nyumbani Stamford Bridge kuikaribisha Arsenal.

Mechi hiyo ni muhimu sana kwao, kwani kama watashinda, njia ya ubingwa kwao itakuwa imefunguka zaidi. Tayari wamefanya mazoezi yao chini ya Kocha Antonio Conte, hiyo jana na leo wako tayari wakitaka pointi tatu lakini wakitaka kulipa kisasi.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV