Licha ya kuwa nyumbani Old Trafford, Manchester United imejikuta ikipata safe ya 0-0 dhidi ya Hull City.
Pamoja na juhudi kubwa za washambuliaji wake wakiongozwa na Zlatan Ibrahimovic, Wayne Rooney na bwamdogo Rashford, bado Man United ilishindwa kubadili mambo hadi mwisho wa dakika 90.
0 COMMENTS:
Post a Comment