February 10, 2017Pamoja na kutofanya vizuri katika msimu uliopita, Manchester United imeshika namba moja katika mauzo ya jezi baada ya kuuza zaidi ya jezi milioni 2.8.Mauzo ya jezi kwa mwaka 2016 yameshikwa na Man United huku wakifuatiwa na Real Madrid ya Hispania iliyouza zaidi ya jezi milioni 2.2.

FC Barcelona ya Hispania pia, imeuza jezi milioni 1.9 na kufuatiwa na Chelsea Chelsea iliyouza jezi milioni 1.6.


LISTI YA KLABU ZILIZOUZA SANA
1) Manchester United (2,850,000)
2) Real Madrid (2,290,000)
3) Barcelona (1,980,000)
4) Chelsea (1,650,000)
5) Bayern Munich (1,500,000)
6) Arsenal (1,225,000)
7) Juventus (850,000)
8) Liverpool (705,000)
9) Paris Saint-Germain (685,000)

10) AC Milan (650,000)

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV