February 10, 2017


Jordan Ayew ameondoka Aston Villa na kujiunga na Swansea kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu.

Ayew ,25, amejiunga na Swansea akitokea Aston Villa.

Kaka yake Andre Ayew aliwahi kukipiga Swansea na walijadiliana kabla ya yeye kujiunga nayo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV