February 4, 2017


Arsenal iko dimbani ugenini Stamford Bridge dhidi ya vinara wa Ligi Kuu England, Chelsea.

Kocha Arsene Wenger mwenye adhabu ambaye atakaa jukwaani hii leo, tayari amemaliza maandalizi ya kikosi chake.

Wenger raia wa Ufaransa analazimika kukaa jukwaani kutokana na adhabu yake ya kutokaa kwenye benchi kwa mechi tatu kati ya nne baada ya kuonyesha ubabe wake kwa mwamuzi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV