February 4, 2017
Kiungo nyota duniani, Ronaldinho amerejea Barcelona safari hii akiwa balozi wa klabu.

Ronaldinho ametambulishwa tena kwenye Uwanja wa Camp Nou jijini Barcelona akiwa kama balozi wa klabu hiyo.


Raia huyo wa Brazil ni kati ya wachezaji waliofanya vizuri sana wakati wakiitumikia Barcelona.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV