Baada ya kukimbizana naye kwa kipindi, hatimaye Simon Msuva amekaa kileleni kwa ufungaji mabao akimpita mpinzani wake Shiza Kichuya.
Msuva bao la pili ya Yanga wakati ikivaa Stand United baada ya Donald Ngoma kutangulia kufunga la kwanza.
Maana yake, Msuva ana mabao 10, Kichuya na Amissi Tambwe ambaye leo hajacheza kila mmoja ana mabao tisa.
Kwa kuwa ni mapumziko, Msuva ana nafasi ya kuandika bao tena na kujiongezea kibubu chake cha mabao ya kufunga.
Wakati Msuva ameongeza presha kwa Kichuya ambaye ameendelea kucheza mechi mfululizo bila ya kufunga.
0 COMMENTS:
Post a Comment