February 5, 2017

Mbeya City imeendelea kutaka kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa JKT Ruvu kwa bao 1-0.

Bao hilo limefungwa na Tito Okello katika kipindi cha kwanza huku kiungo Mrisho Ngassa akitoa pasi iliyozaa bao.


Ngassa aliambaa na mpira kabla ya kutoa pasi hiyo maridadi iliyozaa bao hilo lililodumu hadi dakika ya 90.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV