Simba imeitwanga Yanga kwa mabao 2-1 katika mechi kali ya kuvutia. Ilikuwa ni mechi ya kila aina ya ufundi. Angalia picha na nyingine tutakuletea zaidi.
Wewe Salehe acha unazi wako kwenye mambo yanayokuweka mjini yatakuharibia sana......eti kila kitu mchezaji wa simba kafanya hivi lakini lefa hakuona khaaaaa!...tena angalia goal la penati la Yanga ulivyo livuta GOOOOOOOOOO...sifuri 10, lakini yale ya Simba GOOOOOOO.....sifuri 7, tunajuaga magoal ya penati huwa hayvutwi hivyo yanasemwa GOOO....inatosham acha unazi wako, kuanzia leo sifungui tena blog yako....kwa heri baki na unazi wako, wenzako huwa wanajizuia
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteWewe Salehe acha unazi wako kwenye mambo yanayokuweka mjini yatakuharibia sana......eti kila kitu mchezaji wa simba kafanya hivi lakini lefa hakuona khaaaaa!...tena angalia goal la penati la Yanga ulivyo livuta GOOOOOOOOOO...sifuri 10, lakini yale ya Simba GOOOOOOO.....sifuri 7, tunajuaga magoal ya penati huwa hayvutwi hivyo yanasemwa GOOO....inatosham acha unazi wako, kuanzia leo sifungui tena blog yako....kwa heri baki na unazi wako, wenzako huwa wanajizuia
ReplyDelete