March 10, 2017


Mshambuliaji wa Chelsea,  Eden Hazard ndiye aliyeshinda tuzo ya bao bora ya Februari katika Ligi Kuu England.

Bao la Hazard alilofunga katika mechi dhidi ya Arsenal ndiyo limeibuka na ubora huo.


Katika mechi hiyo, Chelsea iliitwanga Arsenal kwa mabao 3-1.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV