March 10, 2017


Mshambuliaji Gabriel Jesus wa Man City, bado ni majeruhi.

Hali inayomlazimisha kuendelea kutembea akitumia magongo.

Kutokana na hali hiyo, Jesus analazimika kutembea kwa kutumia pikipiki ndogo.

Sasa analazimika kutembea kwa pikipiki maalum anapokuwa katika manunuzi ya vita mbalimbali.

Jesus alijiunga na City akitokea kwao Brazil na sikh chache baada ya kuanza kuonyesha cheche, akaumia.

Tayari alianza kuonyesha yeye ni moto wa kuotea mbali. Lakini sasa atalazimika kusubiri hadi atakapokuwa fiti.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV