March 18, 2017Na Mwandishi Wetu, Arusha
Simba itashuka dimbani Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuivaa Madini FC katika mechi ya Kombe la Shirikisho.

Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho leo, iko tayari kuwavaa wachimba madini hao kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini hapa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV