March 3, 2017

Kiungo wa Chelsea, N'Golo Kante amepata Tuzo ya Mchezaji Bora wa London kutokana na kuonyesha uwezo wa juu kwa mwaka mmoja uliopita.
N'Golo Kante
Kante, amekuwa nguzo muhimu katika kikosi hicho pamoja na ilivyokuwa wakati akiwa Leicester City msimu uliopita.

Tuzo hizo zilitolewa jana Alhamisi maalum kwa wachezaji wanaocheza soka katika Jiji la London.

Katika kipengele chake, Kante amewazidi Diego Costa wa Chelsea, Alexis Sanchez wa Arsenal na Dele Alli wa Tottenham.

Straika wa zamani wa Arsenal, Ian Wright ndiye ambaye alimkabidhi Kante tuzo hiyo.

Wengine waliopata tuzo katika shughuli hiyo:
Mchezaji Bora Chipukizi: Dele Alli  (Tottenham)
Kocha Bora wa Mwaka: Antonio Conte (Chelsea)
Kipa Bora wa Mwaka: Hugo Lloris (Tottenham)
Tuzo Maalum kwa Mchango wa Klabu ya London: Frank Lampard  (Chelsea)

Kipa Bora wa Mwaka: Hugo Lloris (Tottenham)

Ian Wright na Kante

Tuzo Maalum kwa Mchango wa Klabu ya London: Frank Lampard  (Chelsea)

Mchambuzi wa soka wa BBC, Gary Lineker naye alikuwepo

 Ian Wright na Gary Lineker

Kocha Bora wa Mwaka: Antonio Conte (Chelsea)

Mchezaji Bora Chipukizi: Dele Alli  (Tottenham)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic