March 17, 2017
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Hans van der Pluijm.

Pluijm amejiunga na Singida United kwa mkataba wa miaka miwili katika nafasi ya kocha mkuu.

Singida United imepanda daraja hadi Ligi Kuu Bara, itaanza kuonyesha yake msimu ujao na tayari imeanza kufanya usajili.Soma barua ya Singida United.


1 COMMENTS:

  1. Ni sawa maana wamepanda daraja na wanahitaji watu wa Daraja lakini waswahili husema nazi mbovu harabu ya nzima

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV