March 17, 2017


A Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Hans van der Pluijm sasa ni Kocha Mkuu wa Singida United kwa mkataba wa miaka miwili.


Singida United ambao wamepanda  daraja hadi Ligi Kuu Bara msimu ujao nao Singida wamekuwa na mbwembwe wakimuonyesha au kumringia kocha wao huyo mpya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV