March 23, 2017 Umesambazwa ujumbe ambao unaonyesha namna wapiga kura waliopiga kura kuwachagua viongozi wa Shirikisho la Soka barani Afrika walivyopiga.

Inaonekana Tanzania ilikuwa upande wa kambi ya Issa Hayatou ambaye alishindwa.

Taarifa za awali zilielezwa, hata Leodeger Tenga alishindwa baada ya kuwa kambi ya Hayatou ambaye ilionekana wengi wamemchoka.

Kilichoshangaza zaidi hata Misri ambao amekuwa akiwabeba kwa kuwa ni wakwe zake, walimpigia Ahmad. KAMBI YA  ISSA HAYATOU 
Anjorin Moucharafou (Benin Republic)
Sidiki A Roko (Cameroon)
Victor Osorio (Cape Verde)
Andres-Jorge Mbomio (Equatorial Guinea)
Pierre Alain Mounguengui (Gabon)
Lamin Kaba Bajo (The Gambia)
Mohamed Souare-(Guinea)
Augustino (South Sudan)
Manuel Lopes Nascimento (Guinea Bissau)
Jafaar (Libya)
Vincent Nzamwita (Rwanda)
Ravia Idarus Fahinda (Zanzibar)
Jamal Malinzi (Tanzania)
Mohamed Raouraoua (Algeria)
Augustin Senghor (Senegal)
Reverien Ndikuriyo (Burundi)
Kossi Akpovy (Togo)
Tourqui Salim (Comoros)
Abdiqani Said Arab (Somalia)
Mutasim Gafaar Sirelkhatim (Sudan)KAMBI YA AHMAD AHMAD
Mclean Letshwiti (Botswana)
Edouard Ngaissona (Afrika ya Kati)
Mahamoud Moctar (Chad)
Souleiman Hassan Waberi (Djibouti)
Jean Michel Mbono (Congo)
Domingos Monteiro (Sao Tome e Principe)
Omari Constant Selemani (DR Congo)
Augustin Sidy Diallo (Ivory Coast)
Boubacar Diarra (Mali)
Hany Abo Rida (Misri)
Elvis Chetty (Shelisheli)
Juneidi Tilmo (Ethiopia)
Kwesi Nyantakyi (Ghana)
Salemane Phafane (Lesotho)
Ahmad Ahmad (Madagascar)
Walter Nyamilandu (Malawi)
Mohamed Ally Samir Sobha (Mauritius)
Fouzi Lekjaa (Morocco)
Alberto Junior (Msumbiji)
Frans Mbidi (Namibia)
Melvin Amaju Pinnick (Nigeria)
Isha Johansen (Sierra Leone)
Sita Sangare (Burkina Faso)
Danny Jordaan (South Africa)
Adam Mthethwa (Swaziland)
Musa Bility (Liberia)
Wadie Jary (Tunisia)
Moses Magogo (Uganda)
Andrew Kamanga (Zambia)
Phillip Chiyangwa (Zimbabwe)
Ahmed Yahya (Mauritania)
Nicholas Mwendwa Kithuku (Kenya)

Artur de Almeida (Angola)

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV