KAGERA SUGAR WAMEANDIKA BARUA TFF KUPINGA SIMBA KUPEWA POINTI TATU Uongozi wa Kagera Sugar umeandika barua Kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukipinga klabu ya Simba kupewa Pointi tatu. Kagera wanaamini beki wao Mohammed Fakhi alikuwa na kadi mbili za njano na si tatu kama ilivyoamua Kamati ya Saa 72. Years
0 COMMENTS:
Post a Comment