April 16, 2017



Kagera Sugar wameamua kufunga safari na jopo la watu watatu kwenda jijini Dar es Salaam.

Kinachowpeleka ni kile kikao cha Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kitakachofanyika keshokutwa Jumanne.

Kagera inataka irudishiwe pointi zao tatu baada ya Simba kushinda rufaa iliyobaini wao walimchezesha mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano.

Mratibu wa Kagera Sugar, Mohammed Hussein ndiye ataondoka jopo la Kagera jijini Dar.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic