April 17, 2017


Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally (kushoto aliyesimama) akimkaribisha Meneja wa Mkuu wa Masoko wa StarTimes Tanzania, Tang Jing Yu 'Juma Shorabaro wa Kichina' (kulia).
Juma Sharobaro wa Kichina akisalimiana na Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa, Oscar Ndauka (kulia). Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amran Kaima (kushoto) akimuonesha gazeti Shorabaro wa Kichina. Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kulia) akimuonesha jambo Shorabaro. Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph (kulia), Saleh Ally na Shorabaro wakisoma gazeti. Mhariri wa Championi Jumatano, Philip Nkini (kulia) wakisalimiana na Sharobaro. Akioneshwa utengenezaji wa Gazeti la Championi. Shorabaro akitambulishwa kwa Mhariri wa Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kushoto). Shorabaro akitambulishwa kwa Mhariri wa Championi Jumamosi, Lucy Mgina (kushoto).
PICHA: MUSA MATEJA/GPL

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV