April 28, 2017


 Na Fahad Ally, Mwanza
Kama wewe unaichukulia poa mechi ya Mbao FC dhidi ya Yanga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho, basi unajidanganya.

Mechi hiyo inapigwa keshokutwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa na mashabiki wa Yanga maarufu kama “Makomandoo” wameamua kuulinda uwanja huo.


Mashabiki hao wameondoka usiku wa kuamkia leo wakiulinda uwanja huo, usiku kucha ili kuhakikisha Mbao FC na wanaweza kuwasaidia kufanya figisu, hawafanikiwi hata kidogo.

Hii inaonyesha namns gani Yanga ambao ni mabingwa watetezi walivyopania kuishinda Mbao FC na kutinga fainali.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV