May 28, 2017


Dereva kutoka michezo ya langalanga au Formula One kutoka New Zealand, Scott Dixon amepata ajali mbaya baada ya kugongana na Jay Howards wa Uingereza.

Ajali hiyo mbaya imetokea katika michuano ya Indy 500, baada ya hao madereva kujichanganya.


Hata hivyo madereva hao walifanikiwa kutoka salama hali ambayo imeelezwa kuwa bahati kubwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV