May 28, 2017



Mama mzazi wa nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameibuka na kusema mpenzi wa mwanaye, si mjamzito.

Picha iliyoonekana mtandaoni Ronaldo akiwa na mpenzi wake Georgina Rodriguez ilizua gumzo kwamba Ronaldo ,32, anatarajia mtoto.

Lakini Dolores Santos amesisitiza hakuna mamba wall mtoto anayetarajiwa.


Amesema hizo ni hisia za watu na hakuna lolote zaidi ya uzushi tu wa mtandaoni.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic