May 20, 2017





Mjini Mwanza mpira ni mapumziko na Mbao FC ambao ni wenyeji wamekwenda mapumziko wakiwa na bao 1-0 dhidi ya Yanga.

Mechi imekuwa na ushindani mkali lakini inaonekana kuwa Mbao FC wamepania kujiokoa kwa kushinda mechi hiyo dhidi ya Yanga ambao wana uhakika wa ubingwa kwa 99%
Kule Morogoro, Mtibwa Sugar wameishatwanga Toto African kwa mabao 3-1 na wenyeji Majimaji wameshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.

MATOKEO

Mtibwa 3-1 Toto African
Ndanda 1-0 JKT Ruvu
Majimaji 2-1 Mbeya City
Prisons 0-0 Lyon
Azam 0-1 Kagera Sugar
Stand 1-0 Ruvu Shooting

1 COMMENTS:

  1. Hongera Yanga kwa ubingwa, japokuwa kusherehekea ubingwa ukiwa umefungwa ni kama baba anayesherehekea bintiye kuolewa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic