Cristiano Ronaldo amefikisha mabao 401 wakati alipoifungia Real Madrid mabao mawili wakati ikiitwanga Sevilla kwa mabao 4-1 katika mechi ya La Liga.
Nacho na Kroos ndiyo waliofunga mabao mengine mawili lakini Ronaldo pamoja na kusaidia ushindi huo, ameendelea kupaa kwa ufungaji katika klabu hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment