May 2, 2017


Ukisema mambo yanaanza kunyooka, baada ya mashabiki wengi wa KRC Genk kuonyesha imani kubwa kwa mshambulizi, Mbwana Samatta.

Samatta anaonekana kuwa bora zaidi kutokana na kuwa tegemeo katika kikosi cha Genk cha Ubelgiji.

Imeonekana mmoja wa shabiki akiwa na bango uwanjani, akiomba jezi ya Samatta.

Imekuwa kawaida kwa mashabiki wa Ulaya kuomba jezi kwa wachezaji wanaowapenda wakitumia mabango kama shabiki huyo wa Genk.


Samatta amekuwa akifunga mfululizo na wakati mwingine kushindwa kufanya hivyo kwa kipindi fulani lakini imani kwa benchi la ufundi na mashabiki inaonekana kupanda kwa kiwango cha juu kabisa.

3 COMMENTS:

  1. Kweli watanzania tunadanganyika ila hiyo kaka ni photoshop tazama huyo mtu aloishika mkono wake wa pili kashika sehemu gani jamani kweli samata mkali na anakubalika ila tusiongopeane

    ReplyDelete
  2. Kweli watanzania tunadanganyika ila hiyo kaka ni photoshop tazama huyo mtu aloishika mkono wake wa pili kashika sehemu gani jamani kweli samata mkali na anakubalika ila tusiongopeane

    ReplyDelete
  3. Ukijijua una macho mabovu usipende kucoment vitu, na usikariri kuwa kila kitu ni photoshop imetumika, tafuta miwani ya macho ungalie vizuri then comm

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic