May 21, 2017


John Terry anasubiri kuliinua Kombe la ubingwa Ligi Kuu England kwa mara ya mwisho, leo.

Lakini Shirikisho la Mieleka Dunia la WWE, limeonyesha heshima kwake kwa kumkabidhi mkanda maalum.

Mkanda huo unafanana na ule anaoushikilia bingwa wa WWE, Randy Orton lakini aliopewa Terry umepambwa na nembo za Chelsea kuonyesha heshima kwake pamoja na klabu yake.



Huenda Terry akawa na mkanda huo wakati wa kupokea kombe ambalo Chelsea imelibeba msimu huu baada ya kufanya vibaya msimu uliopita chino ya Jose Mourinho.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic