May 23, 2017




Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Ajax, Edwin van der Sar amesema ’vijana wa kikosi chao watawashangaza Manchester United, kesho.

Kesho ni fainali ya Kombe la Europa kati ya Ajax dhidi ya Manchester United.

 Van der Sar aliyekulia kisoka akiwa na Ajax pia aliwahi kucheza Manchester United kipindi cha Alex Ferguson kwa mafanikio makubwa.


Van der Sar anaamini Ajax wakiwa na vijana wengi zaidi, watawashangaza Man United na kubeba kombe hilo.

"Wengi nimesikia wanasema hauwezi kubeba ubingwa ukiwa na vijana, au watoto. Hakuna anayejiuliza vijana wako fainali. Tutawashangaza Jumatano.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic