June 19, 2017


Everton imeendelea kujitanua baada ya kumsajili kinda chini ya miaka 18 kutoka Uholanzi.

Nathangelo Markelo amejiunga na Everton inayodhamiwa na SportPesa akitokea timu ya daraja la pili ya FC Volendam ya nchini Uholanzi.

Hata hivyo inaonekana Everton imepanga kumtumia zaidi katika kikosi chake cha U23.


Everton itakuja nchini kucheza mechi ya kirafiki Julai 13, itakuwa ni dhidi ya Gor Mahia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV